CMT Logo
Skip to main content
+255 738 785 651
info@cmt.go.tz
  • MMM
  • Wasiliana Nasi
  • Mrejesho
    • ENGLISH
    • SWAHILI
    National Emblem of Tanzania

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA  ·  WIZARA YA FEDHA

    BARAZA LA MASOKO YA MITAJI
    CMT Official Seal
    Dira na DhamiraMajukumu
    Wajumbe wa BarazaSekretarietiMuundo wa Taasisi
    Taratibu za RufaaNyaraka za RufaaAda za HudumaFomu
    SheriaTaratibuKanuniMarekebishoMafunzo ya mtandaonimajarida
    Kesi zilizoamuliwaKesi zilizowasilishwa
    HabariNyarakaPicha
    e-Rufaa

    Navigation

    Kuhusu Sisi ▾
    Dira na DhamiraMajukumu
    Utawala ▾
    Wajumbe wa BarazaSekretarietiMuundo wa Taasisi
    Namna ya Kukata Rufaa ▾
    Taratibu za RufaaNyaraka za RufaaAda za HudumaFomu
    Machapisho ▾
    SheriaTaratibuKanuniMarekebishoMafunzo ya mtandaonimajarida
    Kesi ▾
    Kesi zilizoamuliwaKesi zilizowasilishwa
    Kituo cha Habari ▾
    HabariNyarakaPicha
    e-Rufaa
    1. Home
    2. MMM
    Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
    Frequently Asked Questions

    Ni chombo huru kilichoanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (Sura ya 79). Jukumu lake kuu ni kusuluhisha migogoro inayohusiana na masoko ya mitaji, kuhakikisha kwamba kila mshiriki katika sekta hii wakiwemo wawekezaji, mawakala, washauri wa kifedha, kampuni zilizoorodheshwa na...
    Soma zaidi →

    Ni chombo huru cha kisheria kinacholenga kukuza usawa na imani katika masoko ya mitaji ya Tanzania. Baraza linasimamia usuluhishi wa migogoro kati ya wawekezaji, mawakala wa masoko, kampuni zilizoorodheshwa, na wadhibiti, pamoja na kupokea na kushughulikia rufaa dhidi ya maamuzi yaliyotolewa na Maml...
    Soma zaidi →

    Hapana. Baraza ni chombo cha kisheria cha haki madai (quasi-judicial) kinachoshughulika na usuluhishi wa migogoro na rufaa zinazohusiana na masoko ya mitaji. Kwa upande mwingine; DSE (Soko la Hisa la Dar es Salaam) ni soko la wazi ambapo dhamana kama his ana hati fungani hununuliwa na kuuzwa; UTT...
    Soma zaidi →

    Rufaa kwa Baraza hutoka kwa watu binafsi au taasisi ambazo hazijaridhika na maamuzi yaliyotolewa na Mamlaka ya Usimamizi au watu na zilizo kwenye migogoro ndani ya masoko ya mitaji.
    Soma zaidi →

    Masuala ya leseni (kama vile kukataliwa kwa leseni, kusitishwa au kufutwa); Migogoro inayohusu dhamana (ikiwa ni pamoja na kukataliwa kuorodheshwa, kusimamishwa kwa biashara au kuondolewa sokoni); Migongano kati ya washiriki wa soko (kwa mfano kati ya mawakala wa soko na wateja, au kati ya kam...
    Soma zaidi →

    Ndiyo. Maamuzi yanayotolewa na Baraza la Masoko ya Mitaji (CMT) yanaweza kukatiwa rufaa kwenda Mahakama ya Rufani Tanzania lakini kwa hoja za kisheria pekee si kwa masuala ya uthabiti wa kesi.
    Soma zaidi →

    Anapaswa kuwasilisha taarifa ya notisi ya nia ya kukata rufaa ndani ya siku 7 tangu kutolewa kwa uamuzi wa Mamlaka unaopingwa. Anatakiwa kuwasilisha taarifa ya hati ya rufaa pamoja na nyaraka zinazohusu rufaa hiyo ndani ya siku 30 kutoka tarehe ya uamuzi unaopingwa.
    Soma zaidi →

    Ndiyo. Baada ya Baraza la Masoko ya Mitaji kutoa maamuzi, yanaweza kubadilishwa kuwa amri rasmi, iliyotiwa saini na Mwenyekiti au Msajili, na kutekelezwa kwa mujibu wa Sheria ya Mwenendo wa Mashauri ya Madai (Sura ya 33).
    Soma zaidi →

    Baraza lina mamlaka ya kutoa adhabu au suluhu kwa migogoro iliyowasilishwa, kuruhusu hatua za utekelezaji wa kisheria au kuhakikisha utekelezaji na utii wa maamuzi yake.
    Soma zaidi →

    Iwapo mtu atakataa kutekeleza maamuzi ya Baraza la Masoko ya Mitaji, Baraza lina uwezo wa kuchukua hatua za kisheria kuhakikisha kuwa maamuzi hayo yanatekelezwa ipasavyo, sawa na jinsi mahakama ya kawaida inavyofanya.
    Soma zaidi →
    • ‹
    • 1
    • 2
    • ›
    Habari na Matukio Habari →
    news
    CMT | Ziara ya Mafunzo – Kanada
    Nov 30, 2025
    news
    CMT | ICBMED ya 4, 2025 | Gold Crest Hotel Mwanza | 25–27 No...
    Nov 29, 2025
    Matangazo Tazama Zaidi →
    Maonesho ya Nanenane 2025, Dodoma — Ushiriki wa Ba...
    Aug 5, 2025New
    Nafasi ya Baraza katika Utekelezaji wa Dira 2050 “...
    Jul 20, 2025New
    Kuanza kwa utoaji wa Huduma
    Aug 19, 2024New
    CMT logo
    BARAZA LA MASOKO YA MITAJI
    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

    Baraza la Masoko ya Mitaji (CMT) ni chombo huru cha rufaa kilichoanzishwa chini ya Kifungu cha 136A cha Sheria ya Masoko ya Mitaji na Dhamana, Sura. 79. Ikiwa na makao yake jijini Dar es Salaam, Tanzania, Baraza lina jukumu muhimu katika kuhakikisha usawa, uwazi na ulinzi wa wawekezaji katika soko la fedha.

    Wasiliana Nasi

    S.L.P 1384, Ghorofa ya Kwanza, Jengo la Hazina Ndogo (Posta - Mtaa wa Madaraka), Dar es Salaam, Tanzania
    +255 738 785 651
    info@cmt.go.tz

    Tovuti Mashuhuri

    • Tovuti Kuu ya Serikali
    • Soko la Hisa la Dar es Salaam
    • Soko la Bidhaa Tanzania
    • Wizara ya Fedha
    • Ofisi ya Msajili wa Hazina
    • Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana - CMSA

    Anwani Muhimu

    • Barua pepe
    • Tender

    Eneo / Mahali

    📍
    Hazina Ndogo · Dar es Salaam
    Open in Google Maps ↗

    Office hours

    Mon – Fri8:00 AM – 4:00 PM
    SaturdayClosed
    Sunday & HolidaysClosed
    © 2026 CMT, Haki zote zimehifadhiwa. | Imesanifiwa, Imetengenezwa na Huendeshwa na Baraza la Masoko ya Mitaji
  • Ramani ya Tovuti |
  • Kanusho |
  • Sera ya Faragha |
  • Hakimiliki |
  • Vigezo na Masharti
  • Stay Connected

    Get updates on rulings, announcements, and capital markets insights.

    Subscribe to Newsletter

    Receive important updates directly in your inbox.

    We respect your privacy. No spam.